Nafasi za Kazi Vijana Bicycle Center Tanzania
Nafasi za Kazi Vijana Bicycle Center Tanzania

Nafasi za Kazi Vijana Bicycle Center Tanzania,29 December 2024

Nafasi ya Kazi: Accountant Officer katika Vijana Bicycle Center Tanzania

Muhtasari wa Kazi
Vijana Bicycle Center – Tanzania inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Accounting Officer.

Nafasi za Kazi Vijana Bicycle Center Tanzania
Nafasi za Kazi Vijana Bicycle Center Tanzania

Sifa za Mwombaji

  1. Nafasi hii ipo wazi kwa wanaume na wanawake.
  2. Mwombaji anatakiwa kuwa na Shahada ya Uhasibu (Bachelor’s Degree in Accountancy).
  3. Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kushirikiana vizuri na timu.
  4. Ujuzi wa kutumia programu za uhasibu kama vile QuickBooks ni muhimu.
  5. Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili katika sekta ya uhasibu.

Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 20 Januari 2025

Mawasiliano:
Vijana Bicycle Center
Sanduku la Posta 56
Muleba

Simu: 0683 454 323.

Makala nyinginezo: