Nafasi za Kazi kutoka Mkumbi Investment Company
Nafasi za Kazi kutoka Mkumbi Investment Company

Nafasi za Kazi kutoka Mkumbi Investment Company

Nafasi za Kazi kutoka Mkumbi Investment Company; Mkumbi Investment ni kampuni maarufu inayojihusisha na masuala ya mali isiyohamishika, ikiwa ni pamoja na huduma za udalali, upangaji na upimaji ardhi, ununuzi na uuzaji wa ardhi na viwanja, usaidizi wa kisheria katika masuala ya ardhi, pamoja na usimamizi wa mali.

Kwa zaidi ya miaka minne, tumekuwa tukihudumia wateja wetu kwa weledi mkubwa na mafanikio makubwa katika sekta ya mali isiyohamishika.

Nafasi za Kazi kutoka Mkumbi Investment Company
Nafasi za Kazi kutoka Mkumbi Investment Company

Nafasi za Kazi: Maafisa Mauzo na Masoko (Sales and Marketing Officers)

Tunatafuta: Maafisa Mauzo na Masoko – Nafasi 4

Sifa za Muombaji:

  • Lazima awe mkazi wa Dar es Salaam.
  • Umri: Miaka 18 hadi 32.
  • Uwe na uzoefu wa kazi katika sekta ya mali isiyohamishika (Real Estate).
  • Uwe na ujuzi mzuri wa mawasiliano.
  • Uwe na maarifa kuhusu masoko kupitia mitandao ya kijamii.
  • Waombaji wenye ujuzi wa kubuni picha (Graphics Design) au uandishi wa habari (Journalism) watapewa kipaumbele.

Jinsi ya Kutuma Maombi:

Mahali Ofisi Ilipo:

  • ILALA BOMA
  • NSSF Mafao House
  • Ghorofa ya 10

Makala nyinginezo: