Nafasi Mpya za Kazi Utumishi
Nafasi Mpya za Kazi Utumishi

Nafasi Mpya za Kazi Utumishi, October 2024

Nafasi Mpya za Kazi Utumishi; Ofisi ya Rais TAMISEMI ni Wizara pekee ambayo Makao Makuu  yake yalianzia Jijini Dodoma tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini tangu  Serikali ilipotangaza Makao Makuu ya Serikali kuwa ni Dodoma na kwa Dar  es salaam kumekuwa na Ofisi ndogo.

Uwepo wa Makao Makuu Dodoma ulikua na  lengo la kutoa fursa sawa kwa wadau wake wakuu hususan Mikoa na Mamlaka  za Serikali za Mitaa kufika Dodoma kwa urahisi wanapofuata huduma  mbalimbali.

Fursa hizi katika utumishi wa umma zinatoa nafasi kwa vijana wa kitanzania ambao wamejikita katika taaluma za uhandisi, mipango miji, na usimamizi wa ardhi kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii kupitia elimu.

Utumishi wa umma, kupitia kwenye taasisi za elimu ya juu  Chuo Kikuu Ardhi imetoa ajira zifuatazo.

Nafasi Mpya za Kazi Utumishi
Nafasi Mpya za Kazi Utumishi

Nafasi Mpya za Kazi Utumishi

Nafasi Mpya za Kazi Chuo Kikuu Ardhi (ARU) 2024

Chuo Kikuu Ardhi kinatoa nafasi saba (7) tofauti za kazi kwa wahadhiri na wasaidizi wa ufundishaji (Tutorial Assistants na Assistant Lecturers). Nafasi hizi ni maalumu kwa wataalamu wenye elimu ya juu na uzoefu katika fani husika. Hapa chini ni orodha ya nafasi hizi:

  1. Tutorial Assistant (Landscape Architecture) – 1 Nafasi
  2. Tutorial Assistant – Quantity Surveying and Construction Economics – 2 Nafasi
  3. Assistant Lecturer (Quantity Surveying / Construction Economics and Management) – 2 Nafasi
  4. Tutorial Assistant – Urban and Regional Planning – 1 Nafasi
  5. Tutorial Assistant (Geomatics, Geospatial Sciences) – 1 Nafasi
  6. Tutorial Assistant (Real Estate Finance) – 1 Nafasi
  7. Tutorial Assistant Land Management and Valuation – 1 Nafasi

Vigezo vya Kuitwa Kazini

Wale wanaotaka kuomba nafasi hizi lazima wazingatie vigezo vilivyowekwa na Chuo Kikuu Ardhi. Kwa kawaida, nafasi za kazi kama hizi zinahitaji mgombea kuwa na shahada ya juu inayotambulika katika fani husika. Aidha, uzoefu wa kazi au mafunzo katika fani hiyo huongeza nafasi ya mgombea kupitishwa.

Jinsi ya Kuomba

Ili kuomba nafasi yoyote kati ya hizi, waombaji wanatakiwa:

  1. Kuingia kwenye tovuti ya Utumishi na kujisajili.
  2. Kujaza fomu za maombi na kuambatanisha nakala za vyeti vyao vya kitaaluma.
  3. Kuwasilisha maombi yao kabla ya tarehe ya mwisho – 28 Oktoba 2024.