Nafasi Mpya za Ajira VETA
Nafasi Mpya za Ajira VETA

123 Nafasi Mpya za Ajira VETA,Oktoba 2024

Nafasi Mpya za Ajira VETA; Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 1 ya mwaka 1994, iliyorekebishwa chini ya kifungu cha 82 cha mwaka 2219. Lengo kuu la kuanzishwa kwa VETA ni kusimamia mfumo wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) nchini Tanzania.

Majukumu ya VETA ni pamoja na:

  • Kukuza, kuratibu, kusambaza, kudhibiti, na kuhakikisha upatikanaji wa fedha za kutosha kwa ajili ya mfumo wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini.
  • Kuandaa mafundi stadi wa kutosha na wenye uwezo ni lengo kuu la VETA.
  • Kusaidia maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa kuhakikisha Watanzania wanapata ujuzi wa ufundi wa hali ya juu unaoendana na mahitaji ya soko kupitia utoaji, kukuza, kudhibiti, na kufadhili Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi.
Nafasi Mpya za Ajira VETA
Nafasi Mpya za Ajira VETA

Nafasi za Kazi VETA Oktoba 2024

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakaribisha maombi ya kujaza nafasi zifuatazo:

  • Nafasi 123 za ajira zimetangazwa kwa ajili ya waombaji wenye sifa.

Waombaji wote wanatakiwa kuwasilisha maombi yao kwa kufuata maelekezo yatakayotolewa kupitia tovuti rasmi ya VETA.

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (HEAVY DUTY MECHANICS) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (SOLAR POWER INSTALATION) – 1 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (ROAD CONSTRUCTION) – 2 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (DESIGN, SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY) – 27 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (AUTO BODY REPAIR) – 1 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (WELDING AND METAL FABRICATION) – 8 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (MASONRY AND BRICKLAYING) – 11 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (PLUMBING AND PIPE FITTING) – 6 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (ELECTRICAL INSTALLATION) – 18 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (FRONT OFFICE) – 4 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (HOUSE KEEPING) – 2 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (BOILER MECHANICS) – 1 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (SECRETARIAL STUDIES) – 3 POST

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – (FOOD AND BEVARAGE SALES AND SERVICES) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (TOUR GUIDING) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (LEATHER GOOD) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – ENGINEERING SCIENCE – 7 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (TECHNICAL DRAWING) – 6 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (COMMUNICATION SKILLS) – 7 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (BUSINESS OPERATION ASSISTANT) – 2 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (AQUACULTURE AND FISH PROCESSING) – 2 POST

POST: VOCATIONAL TEACHER II – (ECOTOURISM) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (MECHANICAL ENGINEERING) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (ENTERIOR DESIGNING AND DECORATION) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (MATHEMATICS) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (FOOD AND BEVARAGE SALES AND SERVICES) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (FOOD PROCESSING TECHNOLOGY) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (CIVIL ENGINEERING) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (ENGINEERING SCIENCE) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (COMMUNICATION SKILLS) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (ELECTRICAL AND ELECTRONICS) – 1 POST

POST: VOCATIONAL TUTOR II – (TOUR GUIDING) – 1 POST

Makala nyinginezo: