Nafasi 6 za Ajira katika Stamigold Company Limited
Nafasi 6 za Ajira katika Stamigold Company Limited

Nafasi 6 za Ajira katika Stamigold Company Limited,Oktoba 2024

Nafasi 6 za Ajira katika Stamigold Company Limited; Stamigold Company Limited ilianzishwa tarehe 28 Oktoba 2013 kwa ajili ya kufanya biashara ya uchimbaji wa dhahabu, uchakataji wa dhahabu hiyo, na kuisafirisha sokoni ikiwa katika hali ya ghafi au iliyosindikwa.

Kampuni hii, inayofanya kazi kama kampuni binafsi yenye hisa, ndiyo kampuni pekee ya uchimbaji wa dhahabu inayomilikiwa na serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Msajili wa Hazina. STAMICO inamiliki asilimia 99.998% ya jumla ya hisa, huku Msajili wa Hazina akiwa na asilimia 0.002%.

Nafasi 6 za Ajira katika Stamigold Company Limited
Nafasi 6 za Ajira katika Stamigold Company Limited

Kampuni inasimamia Mgodi wa STAMIGOLD Biharamulo, ambao ulianza shughuli zake mwezi Julai 2014. Shughuli za kampuni hii zinahusisha pia uchunguzi wa kijiolojia ndani ya Msitu wa Hifadhi wa Biharamulo. Mgodi huu unapatikana kandokando ya Msitu wa Hifadhi wa Biharamulo, katika Kata ya Kaniha, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera.

Eneo la mgodi linaweza kufikiwa kwa barabara kupitia Kahama–Rusumo Highway, au kutoka Geita–Biharamulo Highway kupitia Bwanga hadi Runzewe.

Wafanyakazi wote wa Stamigold ni Watanzania kutokana na sera za Maudhui ya Ndani (Local Content) zinazolenga kukuza ajira za wenyeji, mafunzo kwa wanafunzi, na program za mafunzo ya kiwandani.

Nafasi za Kazi Stamigold Company Limited, Oktoba 2024

Kampuni inakaribisha maombi ya Watanzania kujaza nafasi mpya zilizopo.

Soma maelezo kamili ya nafasi hizi kwa kubofya kiungo cha PDF hapa chini:

DOWNLOAD THE PDF DOCUMENT HERE

Makala nyinginezo: