Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI
Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI

Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI: Nafasi za Ajira Serikalini,Oktoba 2024

Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI; Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara Huru, kilichoanzishwa mahsusi ili kuwezesha mchakato wa kuajiri watumishi wa umma.

Sekretarieti hii ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, na kufanyiwa marekebisho kupitia Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1).

Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI
Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI

Nafasi za Ajira Serikalini,Oktoba 2024

Dira na Dhamira

Dira: Kuwa Kituo Bora cha Utumishi wa Umma katika ukanda huu.
Dhamira: Kuajiri watumishi wa umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia usawa, uwazi, na sifa pamoja na kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala ya ajira.

Rasilimali watu ni nguzo muhimu katika utoaji wa huduma za umma. Hivyo, Sekretarieti ya Ajira imepewa jukumu la kuajiri watumishi wa umma kwa njia ya haki, uwazi, na kwa wakati, ikihakikisha ubora na fursa kwa waombaji wote. Sekretarieti inalenga kuboresha huduma za serikali kwenye masuala ya mchakato wa ajira kwa mujibu wa kanuni na taratibu, huku ikidumisha mahusiano mazuri na wadau.

Nafasi za Ajira Serikalini,Oktoba 2024

Nafasi za Kazi Zinazopatikana

Chombo hiki kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania kwa ajili ya kujaza nafasi mbalimbali za ajira serikalini kwa mwezi huu wa Agosti 2024.

Jinsi ya Kutuma Maombi: Waombaji wanashauriwa kusasisha taarifa zao kwa kutumia Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN) kwenye sehemu ya Maelezo Binafsi au kwa kusasisha taarifa kwenye eneo la Sifa za Elimu kwa kuweka kozi katika Kitengo husika.

Jinsi ya Kuangalia Hali ya Maombi Yako

Ili kuona “Hali” ya maombi yako ya kazi, tembelea sehemu ya “MAOMBI YANGU” baada ya kuingia kwenye akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa waliofaulu na sababu za kutoitwa kwa wale ambao hawakufanikiwa.

BONYEZA HAPA KUONA NAFASI ZA AJIRA ZA SERIKALINI ZILIZOPO MWEZI HUU

Makala nyinginezo: