Nafasi ya Kazi: Accountant Officer katika Vijana Bicycle Center Tanzania
Muhtasari wa Kazi
Vijana Bicycle Center – Tanzania inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Accounting Officer.
![Nafasi za Kazi Vijana Bicycle Center Tanzania](https://wasomiforumtz.com/wp-content/uploads/2024/12/Capture-176.png)
Sifa za Mwombaji
- Nafasi hii ipo wazi kwa wanaume na wanawake.
- Mwombaji anatakiwa kuwa na Shahada ya Uhasibu (Bachelor’s Degree in Accountancy).
- Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kushirikiana vizuri na timu.
- Ujuzi wa kutumia programu za uhasibu kama vile QuickBooks ni muhimu.
- Awe na uzoefu wa angalau miaka miwili katika sekta ya uhasibu.
Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 20 Januari 2025
Mawasiliano:
Vijana Bicycle Center
Sanduku la Posta 56
Muleba
Simu: 0683 454 323.
Makala nyinginezo:
- Nafasi za Kazi 5 Katika Sandvik Tanzania,Novemba 2024
- Ajira 15 za Umoja wa Mataifa (United Nations),Novemba 2024
- Nafasi 4 za Kazi Precision Air Tanzania,Novemba 2024
- Nafasi za Kazi katika Precision Air Tanzania,Novemba 2024
- Nafasi 76 za Ajira katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),Novemba 2024
- Nafasi 3 za kazi NBC Bank Tanzania, October 2024
- Nafasi za kazi CRDB Bank, October 2024
- Nafasi za kazi Boomplay, October 2024
- Nafasi 25 Za Kazi Chuo Kikuu Cha Ardhi, October 2024
- Nafasi ya Kazi ya Dereva Binafsi katika DUTENI,Oktoba 2024
- Nafasi Za Kazi Kutoka NECTA 2024
- Nafasi za Ajira kutoka Dangote Group Tanzania Ltd, October 2024
- 218 Nafasi za Ajira Serikalini -AJIRA MPYA UTUMISHI,OKTOBA 2024
- Nafasi za Kazi 19 NMB Bank, Oktoba 2024
- Nafasi 258 za Ajira UTUMISHI: Nafasi za Ajira Serikalini,Oktoba 2024
- Nafasi 12 za Kazi TANROADS,November 2024
- Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania
- Nafasi za Kazi ABSA Bank Tanzania (Nafasi 7)
Leave a Reply